Latest Activity

Profile Icon
William Nzunda updated their profile Oct 5, 2010
Profile Icon
William Nzunda updated their profile photo Oct 5, 2010
Profile Icon
William Nzunda is now a member of Wahapahapa Oct 5, 2010
Profile Icon
Evanx.G.Kimario is now a member of Wahapahapa Sep 21, 2010

Wahapahapa Video

Loading… Loading feed

Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Members

  • Immanuel
  • Frank hajembe
  • ERICK MAKYARA
  • nanyika hussein mtiro
  • ali deche
  • thade mgege
  • richard E.G
  • Abdul-latif
  • modester
  • HALIMA HUSSEIN
  • Gerald Mapunda
  • Nitike Nelson
  • Baraka Betishazary
  • Mohamed Salim
  • emanuel edward mwanakadudu
  • William Nzunda
 

Blog Posts

preety boy

PREETY WA HAPAHAPA

Unaweza kujiuliza preety ni nani hasa..Mimi ni wa hapa hapa kwasababu nimezaliwa ,nimesoma na nitaoa hapahapa.hivyo mimi ni wa hapahapa kama alivyo Mkapa....( Mzee kipara)

Usijihahangaishe kunitafuta sehemu nyingine, laah..mimi nipo hapa hapa hata kama nitatoka lakini nitarudi hapa hapa..usipende kuwa mtumwa kwenye nchi za watu kwanini usibaki hapa hapa..? eti unakimbilia kwa…
Continue

Posted by preety boy on September 7, 2010 at 3:30pm — 1 Comment

babukadja

KUHAMA NING

Ndugu Wadau wa wavuti hii ya Wahapahapa, tafadhali tunaomba mfahamu kwamba muda si mrefu wavuti hii itafungwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa uongozi wa Wahapahapa.



Habari njema ni kwamba wavuti ya www.wahapahapa.com bado itaendelea kuwa hewani na maboresho makubwa zaidi yanafanyika ili kuweza kuwa na kitu kinachofanana na Ning kwa starehe yako.



Kwa sasa unaweza kuendelea kutumia mtandao wa… Continue

Posted by babukadja on August 17, 2010 at 11:30am

Forum

Mtoto mzuri

Kuhusu wahapahapa 9 Replies

Jamani embu nitoeni ushamba..mimi nilikuwa nikiona wimbo kama wa banana subira yangu video au wimbo wa enika"mama wanichanganya"nilikuwa najua labda ni series ambazo zinaonyesha zanzibar au…Continue

Started by Mtoto mzuri. Last reply by Alfred Mlaki Sep 8, 2010.

ESTHER MUSABILA

VIJANA NA UKIMWI 7 Replies

Habari vijana wenzangu, hop mko fyn. Mi ktk safu hii nilitaka 2 kuongelea maisha ya kijana hasa wakati huu mgumu wa gonjwa hatari la ukimwi. Vijana 2yapende maisha na 2jihadhali na Ukimwi. Mpenzi…Continue

Started by ESTHER MUSABILA. Last reply by EDSON JOEL Sep 14, 2010.

EDSON JOEL

SERIKALI KUJENGA SHULE KILA KATA BILA MAABARA JE NI SEHEMU MOJAWAPO YA KUBORESHA ELIMU AU KUPOTEZA MUELEKEO WA ELIMU HAPA NCHINI .NDUGU WASOMAJI NAOMBA KUTOA HOJA 6 Replies

MIMI NAONA KIINI MACHO KILA SIKU SERIKALI INASISITIZA WANAFUNZI WASOME SAYANSI,WATASOMA NA KUFAULU VIPI BILA MAABARA.NAOMBA HOJAContinue

Tags: KULALA, BILA, KUOTA, UWEZI

Started by EDSON JOEL. Last reply by EDSON JOEL Mar 25, 2010.

ALLY ABEID

AAJALI ZA BARABARANI 5 Replies

KUMEKUWA NA AJALI NYINGI SANA,NA WANANCHI WENGI WAMEKUWA WAKITUPIA LAWAMA KWA ASKARI WA USALAMA BARABARANI,JE  LAWAMA HIZO HUWA NI SAHIHI IKIWA WEWE ABIRIA NDIO UNAMUONA DEREVA UENDESHAJI WAKE,UZIMA…Continue

Started by ALLY ABEID. Last reply by rachel Mnyakyusa Apr 6, 2010.

Videos

  • Add Videos
  • View All

Music

Loading…
 
 
 

Badge

Loading…

© 2012   Created by Wahapahapa.   Powered by .

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service